Spotlight Kurunzi ya Kiswahili 7

by Mdawida


Kurunzi ya Marejeleo ya Kiswahili 2 kimeandaliwa maalum ill kimsaidie zaidi mwanafunzi wa Darasa la 2 katika mazoezi na marudio ya silabasi ya darasa la 2. Ni kifaa muhimu kwa mwalimu anayehitaji maswali tofauti tofauti yanayoweza kutumika kwa mazoezi ya darasani na mitihani ya mwisho wa muhula. 

Muundo wa kitabu ni kama ifuatavyo: Kuna sura 5 zinazoangazia silabasi nzima ya darasa la 2 ambazo ni: kusikiliza na kuongea, kusoma, kuandika, sarufi na msamiati. Kila sura imegawika katika mada ndogondogo zikifuatwa na mazoezi. Mpangilio huu unamwezesha mwalimu na mwanafunzi kumudu vyema silabasi yote. Kila mada ndogo inaangazia hoja muhimu kwa muhtasari, lakini kwa makini na upana. 

ISBN: 9966734090 SKU: 2010127000225
KES 603
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect