Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD1 Mwalimu

by Matei


Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya Kwanza kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa mwanafunzi haswa katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.

Kitabu hiki

  • Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
  • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
  • Kuna mazoezi na mijarabu anuwai(mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
  • Picha halisi_ na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
  • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katike kurahisisha ujifunzaji. 
  • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii(shambani,dukani,sokoni,usafi), kumwalika mgeni(wa usalama,usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au miezi, uchorgji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
  • Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
  • Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
ISBN: 9789966571656 SKU: 2010127000746
KES 348
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review