Spotlight Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Grade 5

by Spotlight


Kurunzi ya Mazoezi ya Kiswahili Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi uelewa wa mfumo mpya wa elimu wa umilisi. Sifa za kitabu hiki:

-Maswali yote ya Tathmini na Majaribio yanafuata muundo na ruwaza ya Baraza la Kutunga Mitihani Kenya (KNEC); hivyo yanampa mwanafunzi sura kamili ya tathmini ya shuleni na kitaifa.

-Kinafuata kikamilifu mfumo mpya wa umilisi.

 

-Kina majaribio tosha ya mwisho wa kila muhula.

-Kina tathmini ya mwisho wa mwaka inayotathmini kuafikiwa kwa malengo ya mwaka mzima.

-Maswali yana michoro na picha za kuvutia kurahisisha uelewa wa mada lengwa.

-Majibu ya mazoezi yote yapo mwishoni mwa kitabu hiki. Majibu haya yanamlenga mwanafunzi, mzazi au mlezi na mwalimu.

ISBN: 9789966572806 SKU: BK00000004068
KES 499
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect