Storymoja Know More Kiswahili GD2

by Story Moja

by Nyambeka


Know More Kiswahili Activities Kitabu cha Mwanafunzi wa Gredi 2 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya mtaala mpya wa kiumilisi ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika kitabu hiki zitamwezesha mwanafunzi kuwa na umilisi wa stadi mbalimbaii.

Sifa zake kuu

  1.  Vipengee vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa ruwaza ya mtaala mpya
  2.  Picha na michoro angavu kwa ajili ya kumwezesha mwanafunzi kuelewa matini.
  3.  Uhusishaji wa shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji.
  4.  Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa Kiswahili.
  5.  Ushirikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
  6.  Ujumuishaji wa masuala mtambuko katika shughuli za ujifunzaji.
ISBN: 9789966621603 SKU: 2010127000784
Out of stock
KES 379

You can get an email alert when this product is back in stock.

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect