Sulwe - Kiswahili (Lupita Nyong'o) (Paperback)
- ISBN: 9789966822031
- SKU: BK00000000299
Inawezekana kuwa usiku huo haukuhitaji kubadolika, hata kidogo?
Unaweza soma pia DHOLUO | ENGLISH
-
Kinauza zaidi kwa mujibu wa New York Times
-
Kimepokea tuzo ya uchoraji ya Corretta Scott King Illustrator Honor Award
-
Kimepokea tuzo ya Kazi Bora ya Fasihi ya Watoto ya NAACP Image Award
Lupita Nyongo, mwigizaji na mshindi wa tuzo ya Academy, ametuandikia kitabu cha picha chenye mvuto na ushawishi mkubwa kuhusu rangi, kujithamini, na kujifundisha ya kwamba urembo wa kweli unatoka ndani mwa mtu.
Sulwe ni mweusi tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake. Ni mweusi kuliko kila mtu shuleni. Sulwe anataka tu kuwa mrembo na mwerevu, kama mamake na dadake. Ghafla, safari ya kipekee katika anga ya usiku inamfumbua macho na kila kitu kinabadilika. Katika kitabu hiki chenye michoro ya Vashti Harrison, mwigizaji Lupita Nyong’o amefinyanga hadithi ya kusisimua na kuwahamaisha watoto ili wafurahie urembo wao wa kipekee.
KES 1,190

Customer Reviews
This product does not have any reviews yet - be the first to write one.