Sulwe - Kiswahili (Lupita Nyong'o) (Paperback)

Inawezekana kuwa usiku huo haukuhitaji kubadolika, hata kidogo?

Unaweza soma pia DHOLUO | ENGLISH

 • Kinauza zaidi kwa mujibu wa New York Times

 • Kimepokea tuzo ya uchoraji ya Corretta Scott King Illustrator Honor Award

 • Kimepokea tuzo  ya Kazi Bora ya Fasihi ya Watoto ya NAACP Image Award  

Lupita Nyongo, mwigizaji na mshindi wa tuzo ya Academy, ametuandikia kitabu cha picha chenye mvuto na ushawishi mkubwa kuhusu rangi, kujithamini, na kujifundisha ya kwamba urembo wa kweli unatoka ndani mwa mtu.

Sulwe ni mweusi  tititi. Ni mweusi kuliko kila mtu katika familia yake.  Ni mweusi kuliko kila mtu shuleni. Sulwe anataka tu kuwa mrembo na mwerevu, kama mamake na dadake.  Ghafla, safari ya kipekee katika anga ya usiku inamfumbua macho na kila kitu kinabadilika. Katika kitabu hiki chenye michoro ya Vashti Harrison, mwigizaji Lupita Nyong’o amefinyanga  hadithi ya kusisimua na kuwahamaisha watoto ili wafurahie urembo wao wa kipekee. 

KES 1,190

Product Information

Product codeBK00000000299
Weight (kg) 0.279
ISBN 9789966822031
Author Lupita Nyong'o
SKUBK00000000299

Leave a product review

or cancel

Customers also buy

 1. The Yummiest Githeri
  The Yummiest Githeri
  by Kwame Nyong'o
  KES 945
 2. I Love Ugali and Sukuma wiki
  I Love Ugali and Sukuma wiki
  by Kwame Nyong'o
  KES 945
 3. Tasty Maandazi
  Tasty Maandazi
  by Kwame Nyong'o
  KES 945