Sungura Mpanda Ngazi


Sungura Mpanda Ngazi ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zilizochapishwa na KLB. Hadithi hii inawalenga watoto wa darasa la nne.Katika hadithi hii, wanyama wanakabiliwa na njaa. Hata hivyo, kuna maembe kwenye mwembe mrefu sana. Baada ya kutafakari, Sungura anaibua wazo la kuunda ngazi ili apande juu kuwaangushia wanyama wenzake maembe. Anapofika juu, Sungura anakula maembe na kuwasahau wanyama wezake wanaomsubiri chini ya mwembe. Ni ukweli kuwa "Mpanda ngazi hushuka".

KES 157
Author John
ISBN 2010143000397
SKU2010143000397
International delivery
Free delivery on orders over KSh 0
Free click & collect

Reviews

Leave a product review
or cancel