Sungura na Binti Mfalme

by Mpesha


Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini wanashindwa. Mpaka Sungura anapojitokeza na kujua jinsi ya kufanya hivyo...

ISBN: 9966471294 SKU: 2010143000301
KES 145
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect