Tadubiri za Insha darala la 7:Mbinu na Mapambo .

by Kennedy M.anduvate, Pamela N.Muriuki


Tadubiri za Insha: Mbinu na Mapambo, Darasa la 7 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na ubunifu wa hali ya juu kwa madhumuni ya kukidhi mahitaji ya wanafunzi na walimu katika shule za msingi - darasa la saba. Lugha iliyotumika ni rahisi kueleweka na wanafunzi wote kutoka mazingira mbalimbali. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu stadi wenye tajriba pana ya kufundisha kutahini Kiswahili - kiwango cha KCPE kwa miaka mingi. Wameangazia kwa undani na mapana mikakati, mbinu, taratibu, dhana, kunga, miundo, mapambo na vipengele vinginevyo muhimu katika uandishi wa insha za kuvutia na za kuzoa alama za juu zaidi. Hivyo, kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kuandika insha kwa namna na mtindo taanusi na wenye mnato wa kipekee. Mifano kadha ya insha mbalimbali kulingana na silabasi imetolewa katika kitabu ahisisha uelewaji wa maelezo yaliyomo na pia kushadidia hoja muhimu.

ISBN: 9789966310651 SKU: 2010127000599
KES 673
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect