Tando la Tandabui

by Ali Attas


Mwanamfalme akiwa mawindoni anakutana na Bintimfalme anayemshika mkono na kumpeleka kwa wazazi wake. Mwanamfalme anajipata akiogelea kwenye maji ya chumvi mbele ya wazazi wa Bintimfalme.
Bintimfalme anamwomba Mwanamfalme akubali kuishi nao kwani ameshampenda. Mwanamfalme anakataa.
Je, ni nini kinachotokea? Burudika.

ISBN: 9789966068811 SKU: 2010143001120
KES 267
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect