Topmark KCPE Kiswahili Maswali na Majibu

by M.Wamae


Top Mark KCPE Kiswahili Maswali na Majibu kimeandikwa kwa kusudi la kuwasaidia wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa mwaka wa nane katika shule za Msingi. Pia, kitawafaa walimu wanaowatayarisha wanafunzi kwa mtihani huu. Kitabu hiki kimejumlisha nyanja mbalimbali za lugha, mazoezi, mifano ya maswali ya nnitihani, maswali ya majaribio, mazoezi ya mseto no majibu ili kuwaandaa wanafunzi vilivyo kwa mtihani wa KCPE. Kila sehemu inayo;

  •  Maelezo muhtasari 
  •  Maswali mengi yaliyojibiwa 
  • Mifano ya maswali ya majaribio 
  • Majibu kwa mswali ya mazoezi ya marudio. 

Hiki ni mojawapo ya vitabu katika mfululizo wa vitabu vya Top Mark Q and A vinavyochapishwa na KLB. Ni mwongozo muhimu kwa wote wanaotaka kupanua maarifa yao na kufaulu katika mtihani.

 

 

 

ISBN: 9789966449870 SKU: 2010127000553
KES 638
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect