Topmark KCPE Mazoezi na marudio ya kiswahili

by KLB


Topmark KCPE Mazoezi na Marudio ya Kiswahili ni kitabu kilichoandikwa na kutayarishwa hasa kuwasaidia wanafunzi wanaojitayarisha kwa mtihani wa KCPE. Kitabu hiki kina taarifa fupi zenye maelezo kamili na maswali ya marudio baada ya kila mada. Maswali ya mwigo ya mtihani wa KCPE yametolewa pamoja na majibu kwa maswali yote.Muundo huu wa kipekee unakifanya kitabu hiki kuwa kiongozi imara na rafiki wa daima kwa mwanafunzi anayetarajia kupata alama za juu katika KCPE. Ni kitabu ambacho hata walimu wanaowatayarisha watahiniwa watafaidika nacho, na ni cha lazima kwa kila mtahiniwa.

ISBN: 9789966446909 SKU: 2010127000322
KES 684
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect