Topmark KCSE Kiswahili Maswali na Majibu

by Ochieng


Kiswahili Mamboleo darasa Ia saba ni kitabu cha kisasa ambacho kimeibua masuala mapya muhimu ambayo yatamfanikisha mwanafunzi kufikia kileleta cha ufanifu wake katika somo hili adhimu la Kiswahili. Kitabu hiki kimeleta mageuzi timamu, mawazo chanya, msamiati ibuka iii kukipa hadhi stahili Kiswahili kikiwa lugha rasmi na lugha ya taifa. Vipengele vilivyotazamiwa kwa kina na uketo ni:

Kusoma: Ufahamu wenye mafunzo tele. Sarufi: Maelezo afiki ya sarufi. Kusikiliza na Kuongea: Mahusiano ya moja kwa moja. Msamiati: Maana alhasili na matumizi yake.Kuandika: Maelezo aula na mazoezi mengi. Marejeleo: Mazoezi ya darasa Ia saba na madarasa ya awali. Kitampa mwanafunzi dira kamili ya kutatua matatizo sugu kwani kurukaruka kwa maharagwe ndiko kuiva kwake.

ISBN: 9789966100573 SKU: 2010127000531
KES 800
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect