Storymoja: Tumbili na Kinanda Gredi 6

by Stanley Gazemba


Tumbili anakiiba kinanda cha Mzee Tumbo. Anakitumia  kinanda hicho kuwatumbuiza wanyama wa pori wanaofika  kwenye himaya yake kila siku ili kusakata rumba wawili : wawili. Tumbili anajipata mashakani baada ya kubainika kuwa  kinanda chake chenye mvuto wa sauti kilikuwa kifaa cha mzee  Tumbo. Hukumu yake ilikuwa mijeledi ishirini kwa shtaka la - kwanza, na mijeledi mingine ishirini kwa shtaka la pili pamoja ,na kazi ya sulubu; Kazi ya Nyani na Tembo inadhihirika punde tu hukumu inapotolewa. Je, Tumbili atastahimili adhabu hiyo? 

Soma hadithi ya Tumbili na Kinanda ufahamu kilichomfika Tumbili baada ya hukumu kutolewa kuhusu wizi alioutekeleza.

ISBN: 9789966623201 SKU: BK00000008214
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review