Uandishi wa Insha
Uandishi wa insha katika somo la Kiswahili ni sehemu ambayo Kwa muda mrefu haijapewa uzito unaostahili, ilhali ni sehemu ambayo inaonyesha na kudhihirisha ukomavu wa mwanafunzi Katika matumizi ya iugha.Uandishi wa Insha ni kitabu adhimu ambacho kimeshughulikia Kwa kina kuhusu taratibu na misingi ya uandishi wa insha. Kwa Kutoa mifano ya namna kwa namna ya kila muundo wa insha. kitabu hiki kimefanya somo hili kuwa rahisi na la kupendekeza kwa wanafunzi. Pia. kuna maswali ya mazoezi Yatakayowasaidia wanafunzi katika kujikumbusha yale waliyoyasoma.
KES 464

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect