Uketo wa Ushairi Shule za Upili


Uketo wa Ushairi kwa Shule za Upili ni kitabu cha kipekee ambacho kimesheheneza tasnifu na maudhui mbali mbali ambayo yanahusu maisha kama vile: mapenzi, unyumba. kunasibu. kuhimiza. kuadabisha, kuelimisha. na kadhalika. Kitabu hiki kina maswali kemkem hususa kwa wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne katika shule za upili. ambao wanajiandaa kufanya mtihani wa kitaifa. Aidha, kitabu hiki kitakuwa na manufaa makubwa kwa wanafunzi katika vyuo vya ualimu wa shule za msingi na hata wanafunzi katika vyuo vikuu.

KES 585
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000064
SKU2010129000064

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review