Ukiwa


Hii ni hadithi ya kisasa ya mapenzi. Kijana anayesomea Digrii kwenye chuo kikuu anapata simu kuwa mpenzi wake amekufa. Hapo anaanza kurudi nyuma na kutazama maisha yao yalivyokuwa na marehemu ili aweze kuivuja kasi huzuni aliyonayo. Hadithi hii pia inaonyesha migongano inayotokana na nyendo na tabia zilizoadhiriwa na Uzungu na maadhili ya kiasili ya mapenzi ya ndoa ambayo mwanafunzi wa chuo kikuu na mpenzi wake, asiye na elimu ya kiwango chake, wanayaleta katika mapenzi yao.

KES 522
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
SKU2010143000161

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review