Upotovu


Upotovu ni tamthilia inayolenga katika kukosoa hali zetu. Tamthilia hii inatuchokoza tuyaafiki mambo mawili: La kwanza ni 
kwamba tukubali ya kuwa tumeteleza kisiasa na kiuchumi. Hali ambayo imetuzorotesha kimaadili. Jambo la pili ni kuwa 
tukubali kujirekebisha. Tamthilia hii inayo matumaini makubwa ya kwamba mwisho kabisa tutaungana na kuwa jamii moja yenye 
upendo na itakayoenzi yale yaliyo mema pekee

KES 405
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000016
SKU2010129000016

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review