Usiku wa Manane

by John Kobia


Usiku wa Manane ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Hadithi hii ya kusisimua inawalenga wanafunzi wa darasa la saba.Safari ya kuelekea Biro ni safari iliyongojewa kwa hamu na ghamu. Msimulizi asawiri picha ya mambo chungu nzima katika jamii. Safarini na maishani watu hukumbana na mambo tofauti. Msimulizi anayaona yapi?

ISBN: 978996644850 SKU: 2010143000579
KES 360
International delivery
Free delivery on orders over KSh 0
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review