Usiku wa Mashaka

by One planet

 • ISBN: 9789966068194
 • SKU: 2010143000790

Punde tu walipofumba Macho kwa ajili ya maombi ya kukibariki chakula, sauti kali ya kengele ya mlango ilisikika. Kabla ya mtu yeyote kutoa kauli ya kumkaribisha mgeni yule, watu watatu wa umri wa makamo walijitoma sebuleni na kuukomelea mlango kwa haraka."Kila mmoja wenu apige magoti na kuinua mikonojuu! Mara moja! Nisisikie mtu yeyote akitoa sauti..."Ndoto ya Kangwana kufika jijini Nairobi inatimia. Furaha yake ya kuwepo jijini hata hivyo inakatika ghafla wakati yeye na jamaa za mjomba wake wakijiandaa kushitaki njaa kwa chajio. Ni nini kilitokea na kuufanya usiku huo kuwa wa mashaka?Usiku wa Mashaka ni hadithi iliyosukwa na kufumwa kwa ustadi wa hali ya juu zaidi. Ni hadithi itakayokuteka kwa masimulizi ya kipekee ambayo hayataisha kukulia hamu ya kutaka kujua halima yake.

KES 325

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Safari ya Lamu
  Safari ya Lamu
  by John Habwe
  KES 603
 2. Vipawa Vya Hasina 8e
  Vipawa Vya Hasina 8e
  by Said A Mohamed
  KES 284
 3. Kivuli cha Ndoto
  Kivuli cha Ndoto
  KES 313
 4. Mkondo wa maisha
  Mkondo wa maisha
  by Ali H.Njama
  KES 252
 5. Usiku wa Manane
  Usiku wa Manane
  by John Kobia
  KES 360
 6. Dhifa
  Dhifa
  by E.Kezilahabi
  KES 383