Utamu wa Insha Nuru ya KCPE

by Wallah, Tsalwa


Utamu wa Insha ni kitabu kilicho na ladha mpya katika kuelekeza uandishi burudani wa insha.

Ni kitabu ambacho kimejaa suluhu afueni kwa mwanafunzi kwa jinsi kilivyo kuwa kwa mtindo wa kipekee. 

Wanasema wenye akili tambuzi kuwa kama ni tamu ulimi upo na utamu ni ladha, ladha ni thamani, thamani ni afueni hatimaye afueni ni mtindo. 

ISBN: 9789966101013 SKU: 2010127000679
KES 500
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect