Utamu wa Msamiati Nuru ya KCPE

by Wallah Bin Wallah, Abubakar Tsalwa


Utamu wa Msamiati ni jibu kwa swali kuu la mwalimu na mwanafunzi wapenzi wa Kiswahili. Ni kitabu ambacho kimefamkisha ombi la walimu wetu watukuka kuhusu urahisi wa kusoma no kuelewa msamiati katika shule za msingi.

Kitabu hiki kina mtindo si mpya bali burudani kwa jinsi kilivyoyashughulikia mambo kwa wepesi wa kuvutia kiasi cha kummotisha mwanafunzi katika kukipenda Kiswahili.

Kinajivunia utamu kwenye:

  • Mpangilio wa sura kuafiki mazingira ya mwananfunzi.
  • Fasili no upembuzi hai wa mada.
  • Mifano taalaki na mazingira ya mwanafunzi.
  • Mazoezi bulibuli ya kudurmsha uelewu.
  • Majaribio fatashi kwa kutathmini umilisi.
  • Karatasi sampuli za KCPE zinazotoa taswira halisi ya mtihani wa KCPE Kiswahili.
  • Majibu ya Maswali yote ya mazoezi. majaribio na sampuli za KCPE. 
ISBN: 9789966101044 SKU: 2010127000704
KES 580