Vazi la Mhudumu

by Iribe mwangi

 • ISBN: 9789966562012
 • SKU: 2010129000203

Vazi la Mhudumu na Hadithi Nyingine Kutoka Afrika Mashariki ni diwani ya hadithi fupi inayojumuisha hadithi za kuvutia zilizoandikwa na waandishi kutoka Kenya, Tanzania, Zanzibar na Uganda waliobobea na wale wanaochipukia katika utanzu wa hadithi fupi. Diwani hii inashughulikia maudhui mbalimbali kama vile elimu, siasa, ukabila, hadaa, mapenzi na unyumba, ushirikina na mengine anuwai. Waandishi wa hadithi zilizomo katika mkusanyiko huu wamezingatia kaida zinazobainika za utanzu wenyewe. Ni hadithi zinazotoa ujumbe wa wazi na hivyo kumpa msomaji fursa ya kuuelewa moja kwa moja. Aidha, hadithi hizi zinaashiria masuala ibuka yanayomkabili binadamu katika harakati zake za kila siku. Bila shaka diwani hii ni mchango mkuu katika ufundishaji wa utanzu huu wa hadithi fupi.

KES 522

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Mayai Waziri wa Maradhi
  Mayai Waziri wa Maradhi
  by Wamitilia
  KES 410
 2. Orodha gani na hadithi nyingine
  Orodha gani na hadithi nyingine
  by Wanga
  KES 465
 3. Mimba Ingali Mimba na hadithi
  Mimba Ingali Mimba na hadithi
  by McOnyango
  KES 388