Vioja vya Musa 8b

by Hezron Mogambi


Fumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo. mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanotoka katika familia za walalaheri. Kutokana na bidii masomoni na uadilifu, Musa anateuliwa kuwa kiranja mkuu. Hata hivyo, cheo hiki hakimpi furaha kwani anateuliwa na kuchekwa kwa sababu ya umaskini wa familia yao. Musa anashawishika kushiriki maovu ili kujipatia hela za kujistarehesha shuleni. Jambo hili linamzushia balaa, vioja na mikasa ...

ISBN: 9789966342492 SKU: 2010143000325
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect