Vituko Vya Sugura 4d

by Pauline Kea


Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi.
  • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua.
  • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu .

ISBN: 9780195734508 SKU: 2010143000414
KES 261
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect