Storymoja: Wazo la Kui 4C

by Story Moja

by Leila Van Rinsum


Kui ni msichana mwenye ndoto nyingi. Siku moja akitoka shuleni anakutana na mvulana wa rika lake katika jaa la takataka. Mvulana huyo haendi shuleni bali anategemea jaa hilo kujitafutia riziki. Kui na rafiki yake wanaibuka na mbinu ya kumsaidia. Je, watafaulu?

ISBN: 9789966066817 SKU: 2010143000903
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect