Wema Kasande

by Wema Kasande


Wema Kasande anapojiunga na shule ya upili anapata changamoto nyingi. Wanafunzi wenzake wanamcheka na kumkosesha amani. Yupo pia mwanafunzi mmoja ambaye anamdharau kwa sababu anatoka katika familia maskini. Hata hivyo, kwa msaada wa Roselyne, anagundua kwamba kuna njia rahisi ya kukabiliana na matatizo yake. Je, Roselyne ni nani na anafanya nini ili kumwokoa Wema kutokana na hali yake?

Wema Kasande ni kisa cha kusisimua kuhusu mvulana anayepambana kuirejesha hali yake ya kujiamini aliyopokonywa na jamii yake huku akijitahidi kuyaboresha maisha yake na yale ya familia yake. Kisa hiki kitawafaa wasomaji kutambua kwamba hali ngumu hazidumu na kwamba bidii na nidhamu huleta nafuu ya maisha.

ISBN: 9789966141934 SKU: BK00000008289
KES 350
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review