Zawadi ya Rangi

by Ruth Wairimu karani

 • ISBN: 9789966471352
 • SKU: 2010143000260

Mvua inaponyesha watu wazima wanakimbia kuitoroka. Lakini kwa watoto wa kijiji, huu ni wakati wa furaha. Wanojitokeza kucheza na kuisifu mvua. Upinde wa mvua anavutiwa na kitendo chao na kuamua kuwapa zawadi ya rangi. Inanyesha mvua yenye rangi tofauti na kuleta umaridadi ambao haujawahi kuonekana kijijini, jambo linalowaongezea watoto raha.

KES 219

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Mgeni Njoo!
  Mgeni Njoo!
  by Ahmed Hussein
  KES 195
 2. Je huu in Uungwana?
  Je huu in Uungwana?
  by Mambo Mbotela
  KES 284
 3. NjiaPanda 8d
  NjiaPanda 8d
  by Aman
  KES 284
 4. Kisasi Hapana! 8a
  Kisasi Hapana! 8a
  by Ken Walibora
  KES 284
 5. Atamlilia Nani? 7d
  Atamlilia Nani? 7d
  by Said A Mohamed
  KES 265
 6. Vipawa Vya Hasina 8e
  Vipawa Vya Hasina 8e
  by Said A Mohamed
  KES 284