Zeu na Hadithi Nyingine 7C

by Daniel.O.ONYANGO

 • ISBN: 9789966363848
 • SKU: 2010143000417

Zeu na Hadithi Nyingine ni Mkusanyiko wa hadithi kutoka Ugiriki. Ngano hizi zinasimulia asili ya vitu mbalimbali ikiwemo; maisha ya Wagiriki, imani na miungu yao, utamaduni na Maadili, siLka, kaida na miiko ya jamii hii. Kitabu hiki, kimesimulia kuhusu miungu mbalimbali na majukumu yao katika kuelekeza na kuamua hatima ya jamii yaWagiriki. Hata hivyo, hadithi hizi zinafaa sang kwa jamii zote za dunia.   Hadithi hizi zimekusudiwa kujenga mahusiano memo baina ya watu katika jamii pamoja na kuwaelimisha.

KES 348

Customer Reviews

This product does not have any reviews yet - be the first to write one.

You may also like

 1. Mayai Waziri wa Maradhi
  Mayai Waziri wa Maradhi
  by Wamitilia
  KES 410
 2. Ngoma ya Muujiza
  Ngoma ya Muujiza
  by Timothy Wasike
  KES 336
 3. Orodha gani na hadithi nyingine
  Orodha gani na hadithi nyingine
  by Wanga
  KES 465