Atafutaye Hakosi

by Samwel P. Wambura


Tangu utoto wake Ochieng hakujua mambo mawili, mapenzi na mama yake mzazi. Na vitu hivi hakujua mahali pa kuvipata
mie kijijini.

Hivyo basi, akiwa na imani, imani thabiti, aliamua kujitosa hatarini, bila kujua kule aendako wala atakapovipata. Na kwa
juhudi na bidii pamoja na uvumilivu alifanikiwa kupata na kugundua hata yale ambayo hakuwa ametarajia.

Licha ya maisha ya Ochieng, hadithi hii pia yasimulia juu ya maisha ya Waluo, desturi na mila zao.

ISBN: 9966443827 SKU: 2010143000379
KES 300 KES 348
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review