Dago wa Munje


Dago wa Munje ni riwaya inayozungumzia unyanyapaa unaomgandama mwanadamu kutokana na maumbile ama tabia; na kumletea hall ya kutojifahamu wala kufahamu matendo na mielekeo yake hali inayomkandamiza mtu kiasi cha kukata tamaa. Hali hii inaweza kutumika kwa njia chanya na kumuopoa binadamu yuleyule kutokana na fikra zake hasi. Kila mtu ana ndoto yake na ukataji tamaa silo jibu.

KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000135
SKU2010129000135

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review