Kimya Kimya Kimya


Mvulano baina ya Kulia na Kushoto umekuwa mzito. Mbele hawaendi, nyuma hawaendi, kulia na kushoto hawaendi. Kushoto anataka kwenda kulia, hawezi. Kulia anataka kwenda kushoto, naye hawezi pia. Kwa kuelekezana migongo na kuvutana pande zote, hawaendi popote. Kushoto analalama, "Mbona siendi mbele? Najitahidi, najivuta, najisukuma lakini..." Kumbe sababu ya haya yote ni kimya! Hali hii itabadilika pale to watakapokaa kimya, na wakiruhusu kimya kusema. Mpaka pale, mdogo atamfundisha mkubwa kusema pole pole. Mpaka pale ulimi ulioganda kwenye baraza la kinywa utakapoganduka. Hapo ndipo kimya kitasema na kitasema kimya kimya kwa sauti kubwa kama ya Yoo.

KES 452
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Mohammed
ISBN 9966361510
SKU2010143000688

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed