KLB Visionary Stadi za Kudurusu Kiswahili Gredi 4 ,5 na 6

by KLB


KLB Visionary Stadi za Kudurusu Kiswahili ni kitabu kinachomwezesha mwanafunzi kujitayarisha kwa gjili ya tathmini endelevu na tathmni tamati. Kitabu hiki kinamfaa mwanafunzi wa Gredi ya Nne hadi Gredi ya Sita. Stadi za kudurusu zinamwezesha pia mwalimu kuwatayarisha wanafunzi wake kufanya tathmini endelevu na tathmini tamati ya Kitaifa. Maelezo ya kina kuhusu sehemu zinazotahiniwa na vielelezo vya tathmni vinampa mwanafunzi ujasiri wa kukabiliana na tahmini zote za
somo la Kiswahili.

Kitabu hiki:
-Ni cha wanafunzi wa Gredi ya Nne (4) hadi ya Sita (6).
-Kinawafaa walimu wa shule za msingi.
-Kinamwelekeza mwanafunzi namna ya kukuza stadi zote za lugha.
-Kina muhtasari wa mada zote ambazo zitatathminiwa kuanzia Gredi ya 4 hadi ya 6.
-Kina mifano halisi ya tathmini endelevu Gredi ya 4 hadi ya 6  ya lliyokuzwa kiumilisi.
-Kina vielelezo vya tathmini tamati ya Kitaifa ya Gredi 4 hadi ya 6. ,
-Kina majibu ya maswali yote ya tathmini zilizotolewa.

ISBN: 9789966657824 SKU: BK00000006851
KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review