Madhila ya Bi.Shufaa 6A


Bi. Shufaa, mwanamke mrembo mwenye heshima na jamala njema anachukuliwa kama kielelezo katika kijiji cha Mangelepa Mumewe ni mwenye mchwa katika juhudi za kuikidhia familia yake mahitaji. Lakini 'Bwana Fukua' diwani mwenye Utajiri mkubwa na aliye na virusi vya ukimwi, kwa matumizi ya utajiri wake anamnyemelea Bi.Shufaa na kumwambukiza. Madhila mengi yanamwandama Bi.Shufaa, Zuhura na Amina, bintize Bi.Shufaa wanageuka kuwa wapi-ganaji wakubwa dhidi ya maradhi ya ukimwi baada ya kushuhudia madhila yaliyomsibu mama yao.Wanakuwa mwangaza cosha kwa farMlia na dunia.

KES 278
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
Author Nuhu Bakari
ISBN 9789966363060
SKU2010143000479

Reviews

Leave a product review
or cancel