Majasusi chipukizi 3a


Malaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi 
la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina 'Masumbuko'. Asubuhi moja, Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejiku
nyata kama kuku aliyenyeshewa. Wanapomdadisi, anawaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao, ambaye ni daktari, 
amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure. Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo hilo la kutibiwa. Je, kulikoni? Hali hii
inawachochea Malaika na Baraka kufanya uchunguzi ili kufumbua asili yake Masumbuko. Je, watafaulu?
 

KES 342
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010141002730
ISBN 9789966347978
SKU2010141002730

Reviews

Leave a product review
or cancel