Manguni na Makonde

by Zachary Orori


Hadithi hii inawahusu vijana wawili, Mangumi na Makonde, ambao ni ndugu wa toka nitoke. Wawili hawa waliishi kwa uhasama mkubwa. Makonde anaondoka nyumbani na kutorokea nchi jirani mahali ambapo anakutana na makuu zaidi kuliko ya nyumbani kwao. Hakika ugeni tabu. Basi aliruka majivu akakanyaga moto. Huko alihukumiwa kunyongwa kwa kushukiwa kuwa jasusi. Babake anaelekea huko kujaribu kumwokoa. Yataishaje?

ISBN: 9789966140173 SKU: 2010143001101
KES 250 KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review