Moran Panda Ngazi: Fisi na mto mkubwa
Panda Ngazi ni mfulutizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.
Mfululizo huu una viwango kama vile mwimbuko, mwanzo, mpito na kati.
KES 150
KES 267
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPC | 2010143001059 |
---|---|
Author | Timothy Omusikoyo |
ISBN | 9789966631169 |
Publisher | Moran |
SKU | 2010143001059 |