Mwongozo Kamilifu wa Mshale wa Matumaini

by Kaka Bahati


Mwongozo huu wa Mshale wa matumaini yake Prof. John Habwe umeandikwa Kwa lengo la kumrahisisishia mwanafunzi au Mwalimu kuchambua kazi yoyote ya Fasihi.Mwandishi amevijadili vipengele muhimu katika uchambuzi wa fasihi kama vile uchambuzi wa jalada,anwani,ploti,dhamira,maudhui,mandhari, wahusika na mbinu za kimtindo.

Mwongozo huu pia una:
-Maswali na Majibu Mwafaka
-Siri za kutahini fasihi ya CBC
-Jinsi ya kujibu maswali ya fasihi ya CBC.

ISBN: 9782123456889 SKU: BK00000011971
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review