Sifuri nyani mtalii


Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili kuepushwa na makali ya 
ukame unaojiri. Anaomba ruhusa ya kwenda mjini kutembea. Je, ziara yake itakuwa ya mafanikio? Soma hadithi kwa vioja anavyovifanya Sifuri mjini!
Bitugi Matundura ni mwalimu katika Chuo Kikuu cha Chuka. Uraibu wake ni kuwaandikia watoto. Ameandika vitabu vingi, 
baadhi yake ikiwa Kangaruu wa Şamawati ambacho pia kimechapishwa na Queenex Publishers Ltd. Alichukua nafasi ya pili 
katika kinyang'anyiro cha Tuzola Fgsihi la Jomo Kenyatta mnamo mwaka 2009.

KES 150 KES 220
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPC2010143000878
ISBN 2010143000878
SKU2010143000878

Reviews

Leave a product review
or cancel