Storymoja Bingwa wa Kitaifa


“Janet aliitazama tarakilishi iliyokuwa mbele yake na kuogopa. Alikuwa amesoma matini ya Maria ya Somo la Tarakilishi kutoka madarasa ya awali ili kujitayarisha kwa_ kipindi hicho, lakini ilionekana kana kwamba kila kitu alichojifunza kilitoweka na kuacha akili yake wazi. Aliitazama mashine hiyo kisha akashika tama! Alitazama juu na chini na kutamka ombi kimoyomoyo ...Muda huo huo, mwalimu wao wa Somo la Tarakilishi aliingia darasani. Kila mmoja akasimama ...”

Janet amejiunga na shule mpya iliyoko Nairobi ili kusomea Somo la Tarakilishi. Kwa kuwa amelelewa kijijini, Janet hana mwao kuhusu somo hilo. Je, anaishia vipi kuibuka mshindi katika mashindano ya kupiga chapa?

KES 480
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000005554
Author Storymoja
ISBN 9789966623645
Publisher Storymoja
SKUBK00000005554

Reviews

Leave a product review
or cancel