Storymoja Shujaa wa Nkoko 5B


Ukame mkali unaiangamiza ardhi ya eneo la Nkoko.Hamna chakula wala maji. Mimea imenyauka na mito inazidi kukauka na kusababisha vifo vya mifugo. Mzee Tilipu anamtuma mwanawe, Leiyan, kutafuta msaada kwa mtaalamu wa kuchochea mvua anayeishi katika eneo jirani, yaani mgimbi. Mgimbi anagundua kuwa mvua imezuiliwa na jitu moja linaloishi katika eneo la Nkoko. Wenyeji wa Nkoko wanalazimika kuwatuma mashujaa wao kwenda kulisaka na kupigana na jitu hilo kabla ya ukame
kuwaangamiza kabisa. Mashujaa hao ni kina nani? Kiongozi wao ni nani? Je, Leiyan atathibitisha vipi kuwa anaweza kuwaongoza wapiganaji ilhali yeye ndiye mdogo zaidi kati yao?

KES 350 KES 480
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPCBK00000004565
Author Storymoja
ISBN 9789966622846
Publisher Storymoja
Weight (kg) 0.2
SKUBK00000004565

Reviews

Leave a product review
or cancel