Storymoja: Vituko vya meja na Hadithi Nyingine 3B

by Rebecca Nandwa


Leshan na Aida wanajipata mashakani baada ya kusingiziwa kulichafua darasa lao. 

Je, nani aliyelichafua darasa la wanafunzi wa gredi ya tatu na kuvuruga amani? Nani ndiye mshindi katika mchezo wa taka unoongozwa na Aida?

Soma ufahamu jinsi Aida na Leshan wanavyokumbana na changamoto wanapoachiwa Joni wamtunze.

Vituko vya Meja na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisismua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinalenga kukuza maadili ya amani, umoja na uwajibikaji miongoni mwa wasomaji.

 

ISBN: 9789966623775 SKU: BK00000005194
KES 450
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review