Wema wa Sofi na Hadithi Nyingine

by Queenex


Sofi ni msichana ambaye kuzaliwa kwake ni kwa ajabu sana. Baada ya kuzaliwa, anakutana na hatari kwenye ulimwengu wa watu katili. 

Kwanza, wasichana wa rika lake wanamwonea wivu kutokana na urembo aliojaaliwa. Pili, jina Sofi linamtia Malkia Malkan wasiwasi usio kifani. Malkia Malkan amemtuma Sofi na wenzake kwenye msitu wa mbali akiwa na lengo la kumwangamiza. Je Sofi atarejea Salama? 

 

ISBN: 9789966075291 SKU: 2010143000856
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review