Adhabu ya Siafu

by Zawadi


Adhabu ya Siafu ni hadithi inayozindua msururu Adabu na Utiifu' inayolenga kuwaonesha watoto umuhimu wa kufuata maagizo na mawaidha ya wazazi. Ni onyo kwa watoto watukutu wasiofuata maagizo. Baraka na Zawadi, wahusika wakuu katika hadithi hii, wanaadhibiwa vikali na siafu kwa kutofuata ushauri wa wazazi woa Je, unamjua siafu? Kwa kimo chake kidogo hivyo, atatumia mbinu gani kumwadhibu mwanadamu?

ISBN: 9789966788887 SKU: 2010143000708
KES 190
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect