Bembea ya Maisha - Set Book

by Timothy M Arege


Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.  

ISBN: 9789966194534 SKU: BK00000005325
KES 464
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

Average rating: 5

from 2 reviews

5 2 five star reviews
4 0 four star reviews
3 0 three star reviews
2 0 two star reviews
1 0 one star reviews
Add your review

anonymous reviewed on 28 Apr 2022
Verified Purchase

Bembea za Maisha

Quality book - well bound & friendly to read!

Keya jael purity reviewed on 29 Sep 2022

Bembea ya maisha

Kitabu hiki kina wahusika wakuu ambao ni Sara na Yona ambao ni wapenzi. Wapenzi hawa wanao wana wawili Neema na Asna. Neema a naye mume anayetambulika kwa Jina Bunju. Baina ya wapenzi hawa, Kuna migogoro inayochangia wao kutosikizana Mara kwa Mara. Sara anakumbwa na maradhi ya moyo kwa sababu ya mumewe aliyezama katika ulevi. Mumewe alipoteza kazi yake baada ya ku ingia ktika Hali ya ulevi . Baada ya muda vurugu hizi Za kifamilia zinafika mwisho naye Yona anaapa na kukiri kuwa hatamwacha mkewe kuteseka kamwe na anajutia kumletea mkewe maradhi yasiyo na tiba. Yona anaahidi kubadilika.

Add your review