Hadithi Teule
by Phoenix
Kitabu hiki kimekusanya ngano thelathini na nne maarufu zilizopendwa sana na watoto kote ulimwenguni. Kuna zile hadithi za kale zenye kuendelea kudumu milele, kama vile Binti Theluji, Paka Avaaye Mabuti, Nguo Mpya za Mfalme, Kidole Gumba, Mvuvi na Samaki wa Dhahabu, kwa mfano. Kunazo vilevile nyingine zenye mwongozo na mafunzo mema kwa vijana, na nyinginezo za kuchemsha ubongo na kufurahisha moyo vile kwamba hata watu wazima zitawapendeza mno.
KES 397
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect