Hadithi za Chekechea : Mpira wa Lisa na Hadithi Nyingine


Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kucumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Chekechea na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umitisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:

-Ujirani Wetu
-Wanyama wa nyumbani

KES 250 KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPCBK00000012386
Author Pauline Kea
ISBN 9789966142504
Publisher Queenex
SKUBK00000012386

Reviews

Leave a product review
or cancel