Usicheze na moto! 4b

by Pamela M.Y.Ngugi


Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi.
  • Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:

ISBN: 2010143000235 SKU: 2010143000235
KES 261
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect