Hadithi za Chekechea : Tina na Kinyonga na Hadithi Nyingine


Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Chekechea na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:

-Watu wa Familia
-Nguo Zangu

KES 250 KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPCBK00000012390
Author Pauline Kea
ISBN 9789966142511
Publisher Queenex
SKUBK00000012390

Reviews

Leave a product review
or cancel