Safari ya Matarajio na Hadithi Nyingine

by Spotlight


Diwani ya Safari ya Matarajio ni mkusanyiko wa hadithi zinazotalii masuala mtambuko katika jamii. Hadithi hizi zinaangazia masuala ya matezi na jinsi yanavyoathiriwa na wazazi kupuuza majukumu yao; misukosuko ya maisha inayozima ndoto za vijana na vile wanavyojizatiti kujikwamua; vyombo vya dola na mashirika ya kujitolea yanavyowaruzuku wanajamii; maumbile na jinsia yanavyogeuzwa msingi wa maonevu na vizingiti vya maendeleo miongoni mwa masuala mengine. Diwani hii inawasawiri wahusika katika hali zao ngumu huku ikionyesha jinsi wanavyojikwamua na kujiendeleza.

ISBN: 9789966572837 SKU: BK00000008708
KES 551
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect